Recent content by sas2017

  1. S

    Anahitajika mpishi mzoefu wa kupika kwenye Mgahawa

    Ukiwa na hizo Sifa tuwasiliane.
  2. S

    Anahitajika mpishi mzoefu wa kupika kwenye Mgahawa

    Mpishi mzoefu anahitajika, Kupika kwenye Mgahawa, mahali, Kivule Bomba mbili, Dar es salaam. 1. Ambaye atakuwepo masaa 24, 2. Ajisimamie mwenyewe. 3. Atafute mwenyewe, wafanyakazi atakaofanya nao. 4. Afanye aina zote za vyakula, vinywaji. Chips na aina zote za vyakula mchana, Asubuhi aina zote...
  3. S

    Natafuta Mpishi wa Chapati

    Mpe namba yangu tuwasiliane.
  4. S

    Natafuta Mpishi wa Chapati

    Nilisimama kidogo kuna kitu kiliingilia hii mipango. Kama yupo tuwasiliane ili nikianza, kama yule niliyempata atashindwa kuendelea basi itabidi niwe na mwengine.
  5. S

    Natafuta Mpishi wa Chapati

    Bado Natafuta mpishi wa Chapati na Vitafunio vyengine kama Half Cake, Sambusa, Egg Chop, Kababu, Sharifu, Bajia, Maandazi, Donat, etc. Pia nahitaji Mpishi wa Supu/Nyama Choma. Niliowapata wanaishi mbali na Biashara ilipo.
  6. S

    Natafuta Mpishi wa Chapati

    Hahahaha, hapana nitamjaribu kwanzo kabla hatujaingia Makubaliano, na hii inafanyika popote kabla ya Mtu kupewa kazi anajaribiwa kwanza, akifaulu ndio tutaingia Makubaliano ya Malipo. Na akishindwa ndio kashindwa, sitaendelea nae.
  7. S

    Natafuta Mpishi wa Chapati

    Na pia kama hautajali, unaweza nipatia namba yake nimtafute Mimi.
  8. S

    Natafuta Mpishi wa Chapati

    Thanks, sawa akija nikimjaribu na nikiona anastahili, Why Not.
  9. S

    Natafuta Mpishi wa Chapati

    Kama anajua tuwasiliane, tutapanga kumjaribu, akikidhi vigezo, basi tutafanya kazi na kumlipa kulingana na uwezo wake.
  10. S

    Natafuta Mpishi wa Chapati

    Hapana inategemea Mpishi kama atakidhi vigezo vyote. Kwa Mfano, Mpishi Wa Chapati awe anapika Chapati Nzuri, na kwa kiwango tunachokubaliana na Mapishi ni asubuhi na jioni.
  11. S

    Natafuta Mpishi wa Chapati

    Natafuta Mpishi Wa Vitafunio. Awe anaweza kupika Chapati Kuanzia Kilo 10. Kazi katika Mgahawa ambao upo Dar es Salaam, Maeneo ya Bomba Mbili, Njia ya kutoka Mombasa, Ukonga. Pia mahitaji Mpishi anayejua kupika Supu na Nyama Choma. Nikiridhika na Mapishi yako, naweza kukupa mpaka Alfu 20 kwa...
Back
Top Bottom