Recent content by Sarisasa

  1. Sarisasa

    Msaada wa kujua shule nzuri za Sekondari za mchanganyiko ya kutwa au Bweni

    Hakunaga shule za aina hiyo mkuu? Nieleweshe tafadhali
  2. Sarisasa

    Shule Ipi bora Secondary kwa Maisha ya sasa Boarding au Day?

    Mkuu samahani Shule za jeshi hapa ni kama zipi naomba msaada?
  3. Sarisasa

    Msaada wa kujua shule nzuri za Sekondari za mchanganyiko ya kutwa au Bweni

    Wakuu habari zenu. Tafadhali naomba kujua shule ambayo ni nzuri naweza kumpeleka kijana wangu anayemaliza std 7 mwaka huu kwa ajili ya kujiunga kidato cha kwanza. Shule natamani kujua zile zenye mchanganyiko yaan wavulana kwa wasichana ambayo ni either Ya Kutwa au ya Bweni hasa hasa zilizopo...
Back
Top Bottom