Recent content by sariaj

  1. S

    Waraka kwa Dr. Slaa

    Hituba hii ilitakiwa somwe tarehe 28/07/3015 tungeweza kuona nia yake njema. Kwa sasa amechelewa sana. Hatuwezi kufikia malengo bila kuanza safari. Cha msingi ni kuwa na dhamira njema, hii itaondoa makandokando kwa kiasi fulani. Nasisitiza safari lazima iendelee. Ni bora kuanza sasa kuliko...
  2. S

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Facts zinakua na maana pale zinaposemwa wakati mwafaka. Kwa yote hayo aliyosema slaa hata kama yanaukweli 100% kwa sasa hayatusaidii kufanya maamuzi sahihi. Hakuna mchakato utakao anza wakuchagua wagombea wengine. Bado nasisitiza perfection haiji bila kuanza safari. Naamini safari haitaanza kwa...
  3. S

    TANESCO wamekata Umeme sehemu kubwa ya Nchi ya Tanzania, leo 29th Aug 2015

    Kama ccm wanafikiri hii ndio njia sahihi basi uwezo wa thank tank yao ni mdogo kupindukia. Wanazidi kujikaanga kwa mafuta yao wenyewe.
Back
Top Bottom