Mbona Bei sana aisee??
Manake Ukichukua Tshs 600 x mita 1,500 = Tshs 900,000/= kwa Roller,
Nimeangalia kule chini kabisa kwenye "Similar Threads" nimekutana na mmoja anauza kwa Tshs 250,000/= kwa Roller, nini tofauti?? Drip Irrigation Pipes zinauzwa
Au wewe hilo roller moja unaongezea na nini...
Wadau za Jioni??
Ninatarajia kuagiza Vifaa mbalimbali vya kilimo kama vile Drip irrigation tapes na fittings zake kama Tape Plugs, PVC offtake, pia Sprinklers etc. Sasa kuna ambae ameshawahi kuagiza hivi vitu ambae anaweza kunisaidia estimates za gharama za TRA, bandari na labda Clearing...
Umechunguza kwanza bei yake sokoni??
Last year maeneo hayo watu waliuza kwa Tshs 1,700/= kwa kilo bei ya shamba.
Mara Nyingi heka yaweza kutoa kilo 400 - 500 ukiihudumia na ukakusanya/kuvuna vizuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.