Kwan ni adi leo wanakata 700 ukitoa kiasi chochote? E="Sawana, post: 12111099, member: 189659"]Ndugu wana JF!
Je mnajua jinsi Bank inayosikiliza "CRDB" inavyoibia wateja wake? Fikiria kila ukitoa pesa kwenye ATM wanakata shs. 700.00. Wanasema kwa siku unaweza kutoa shs. 1,000,000.00. Lakini...