Recent content by Sangiwa

  1. S

    Mbunge Nimrod Mkono alazwa hospitali TMJ

    Wee.. kwani kuna ubaya gani kumuombea malazi mema...?
  2. S

    Wabunge wanawake UKAWA wajitoa rasmi kwenye Umoja wa Wabunge Wanawake

    Naibu spika Tulia ana busara ya Suleimani. Angemtaka huyo mbunge wa Ulanga atoe ushahidi hao wanawake wa Ukawa wangekoma
  3. S

    Sakata la watumishi hewa: RC Makonda awaapisha wakuu wa Idara wote jijini Dar

    Ndio maanake. Kama ofisa anaona kutoa taarifa sahihi ni unyanyasaji basi hatufai.....aache kazi. !
  4. S

    SAKATA LA LUGUMI: Tamko la Ofisi ya Bunge kuhusu mkataba wa LUGUMI

    Clouds radio nao wanatetea tamko hili bila kujua wanatumiwa
  5. S

    Mkataba wa Lugumi wapelekwa kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama!

    Hii ni clasical case ya TAKUKURU moja kwa moja.
  6. S

    Naombeni kumfahamu dada anayezunguka na Magufuli kama msaidizi

    Natamani niwe mlinzi wa Samia Suluh
  7. S

    Nabii TB Joshua awasili nchini Tanzania, Afanya Mazungumzo na Kikwete, Lowassa na Magufuli

    Kwa hali ilivyo sasa washirikina wakubwa ni wakristo na wanasiasa bila kujali usomi wao. Na watu kama Tb Joshua ndio wamewekeza hapo hapo. Pathetic...!
  8. S

    Nabii TB Joshua awasili nchini Tanzania, Afanya Mazungumzo na Kikwete, Lowassa na Magufuli

    Magufuli na Edo wote walienda kwa TB Joshua kabla ya harakati za uchaguzi kuanza, wote walikunywa kikombe cha Babu. Nahisi Rais wetu in "mshirikina" hivyo kuna mambo alielezwa na TB ambayo yametokea kuwa kweli hivyo anamheshimu sana na huenda atamtumia kama mshauri wake. Kama ni hivyo kama nchi...
  9. S

    Ukomo wa Rais na Mawaziri kama ilivyoainishwa kwenye Katiba ya Tanzania

    Sio ubabaishaji Bali tupongeze katiba hii ya 1977, kwani imetungwa kwa utaalam na umakini mkubwa
  10. S

    Vifo vya wanasiasa kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 2015

    Kwa nini tunahangaika kujaribu kutafuta maelezo ya sababu za vifo vya wanasiasa wakati huu na hata kumhusisha Mungu wakati kuna maelezo yanayojitosheleza ya kawaida ya kisayansi. Kwanza waliokufa kwa ajali …Filikunjombe, Mtikila, Mtoi. Matukio hayo ya ajali wala sio coincidence. Wakati huu wa...
  11. S

    Picha: Lowassa ahani msiba wa Peter Kisumo

    Mbona inasemekana ameshindwa kufanya mkutano wa hadhara Usangi ...??
  12. S

    Mwenyekiti wa CCM huko Usangi (Mwanga) ameamua kujiuzulu

    Mwenyekiti wa CCM wa KATA my foot..Shangwe zote hizo...kumbe ni wa KATA. Mmekosa la kufanya..
  13. S

    GE2015 Wanawake wanaweza, Dr. Asha-Rose Migiro lini uliweza?

    Natambua sana usomi wao, Asha Rose Mtengeti Migiro na ndugu zake wamepata nafasi nyingi za uteuzi serikalini. Inasemekana familia ya JK na familia ya kina Asha Rose ni marafiki wa muda mrefu. Mdogo wake Asha Rose (Radhia Mtengeti Msuya) kwa sasa ni balozi wa Tanzania Afrika kusini. Dada yake...
  14. S

    Dodoma: Bajeti kuu ya Serikali imepitishwa kwa Ushindi wa Kishindo wa 83%

    Hao 59 ambao hawakuwa bungeni hawahesabiwi. Kura zinazohesabiwa ni ndio, hapana na abstention (ambao wako bungeni lakini hawajapiga ndio au hapana
Back
Top Bottom