Recent content by Sangiti

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mpiga debe wa Kampeni za Ubunge wa Mbowe Ajitoa Rasmi CHADEMA na Kurudi CCM

    Wakati unaendelea kujiliwaza,tutajie mwingine mliekubaliana kuingia ktk kikundi cha maigizo, Tz tunawajua waandaaji wa Bongo Star Search,nyie naona ni siasa uchwara star search halafu huku Moshi,duhhh!!! Hebu linganisha BSS na SUSS uona kama inakuja!!!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Moi na Uhuru Kenyatta

    Moi ni Kama anawaza ,'hii gijana ya Musee takuja gamata hii nchi,hakyamung,ako na agili mingi sana!!!"
  3. S

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Nimemaliza Arusha sasa nashuka Mtwara

    Hii ndo habari ya mjini,siasa za uzushi,mabomu,vitisho na ukanjanja kuleee,peopleeeeeees poweeeeeeeer!!!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Nimemaliza Arusha sasa nashuka Mtwara

    Watu wa Arusha wamedhihirisha maana halisi ya kujitambua,na namna bora zaidi ya kusimamia misingi ya utu wa mwanadamu,Watanzania tuige mfano huu!!!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Soon in ramadhani

    Ramadhani Kariim to all of you in Allah's name!
Back
Top Bottom