Jamani mwenzenu nilikuwa nmepoteza laini ya voda sasa nikaenda kurenew. je wanaweza kuirudisha ile ya awali? nikaachana na hii mpya. maana nimepoteza details nyingi sana. Anae jua naomba msaada jaman
wanahangaika sana hao wamesha poteza mvuto mbele ya jamii xo hawawez kurudi kwa duzaini hiyo coz mwisho wa siku ninaye angalia movie ni mm so huwez nipangia movie ya kuangalia. Waangalie kazi nyingine ya kufanya hii imewashinda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.