Hongera sana mh RAIS kwa barza lako ila kumuweka ndani ya baraza lako mh MARMO umechafua kabisa ,sikulaumu ila nadhani haukushauriwa vyema,MARMO ni FISADI,aliuza hadi mbuga ya wanyama ambalo ni eneo la WAHAZABE,na kuwauzia mtoto wa mfalme wa SAUDIA na kupew pesa nyingi tu kwa ajiri ya UCHAGUZI...