Recent content by Sanctus Mtsimbe

 1. Sanctus Mtsimbe

  Fuatilia Tamthilia ya "Siri za Familia" Msimu wa Kwanza YOUTUBE "JASONS TV"

  YES Bongo Sinema ni makubaliano kati ya JTV na Zuku. Ipo Channel 211 operated by JTV JTV Sinema ipo TING na Continental. Tuliitoa Startimes.
 2. Sanctus Mtsimbe

  Fuatilia Tamthilia ya "Siri za Familia" Msimu wa Kwanza YOUTUBE "JASONS TV"

  Barikiwa sana. Tunajaribu kufanya sehemu yetu
 3. Sanctus Mtsimbe

  Fuatilia Tamthilia ya "Siri za Familia" Msimu wa Kwanza YOUTUBE "JASONS TV"

  Hakika sisi siyo Producer wa Tamthilia hiyo. Ni Waandaaji wa Siri za familia; Michakato; Maisha ya Bongo na Baadhi ya Filamu. Unaweza pia tufuatilia Channel ya JTV CINEMA Ting au Channel ya Bongo Cinema ZUKU
 4. Sanctus Mtsimbe

  Fuatilia Tamthilia ya "Siri za Familia" Msimu wa Kwanza YOUTUBE "JASONS TV"

  Sasa Unaweza kufuatilia Msimu wote wa Kwanza wa Tamthilia Pendwa ya "SIRI ZA FAMILIA" katika Channel ya "JASONS TV" YOUTUBE. Kwa Kuanzia angalia hizi Episodes chache:
 5. Sanctus Mtsimbe

  Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

  Naomba uwe mpangaji wa kudumu ndani ya moyo wangu. By Mass Media
 6. Sanctus Mtsimbe

  Special thread; Tamthilia ya Siri za Familia Inayorushwa EATV

  :):) Kuna mhali hili tulilielezea kwa kina sana
 7. Sanctus Mtsimbe

  MICHAKATO - Tamthilia Mpya - Clouds TV

  Siri za Familia imejikita kwenye True Stories Tu tunazoletewa zikihusisha Siri latina familia Mbalimbali Maisha ya Bongo inahusisha harakati za Maisha ya Kawaida ya Nyumbani na Ofisini katika Kada mbalimbali Michakato inahusisha Utatuzi wa Changamoto za Maisha katika kada mbalimbali na level...
 8. Sanctus Mtsimbe

  MICHAKATO - Tamthilia Mpya - Clouds TV

  Imeingia wiki ya tatu sasa
 9. Sanctus Mtsimbe

  MICHAKATO - Tamthilia Mpya - Clouds TV

  Mara Paaap! Imoooo
 10. Sanctus Mtsimbe

  MICHAKATO - Tamthilia Mpya - Clouds TV

  Hongera Mkihitaji Tamthilia karibuni
 11. Sanctus Mtsimbe

  MICHAKATO - Tamthilia Mpya - Clouds TV

  Unaweza pia kufuatilia kupitia Account ya Instagram @ Michakato.show
Top Bottom