Huelewi unacho andika maana ni kama ume copy palali na ku paste huku! Rudia kusoma copy paste zaidi ya mara tatu kisha utaona mwenyewe jinsi hakuna point zozote huko ulizo copy paste 🧐
Kipepeo Tours,
Hakuna lolote niambie umefaidika nini mpaka mda huu, kuwa muwazi tu, maana maendeleo hayo unayo yaongelea ni ya rais wa awamu ya nne na yametekelezwa awamu ya tano maana muda ulikuwa sio rafiki kwake, ila ki ukweli mimi sioni alichofanya mpaka sasa zaidi ya kudidimiza mambo
MURUSI,
Tupo kwenye ukoloni mamboleo, watu wana uroho na ulafi wa madaraka, mtu anafanya kwa ajili yake na sio kwa ajili ya wananchi kwahiyo sidhani kama kuna vitu vipya kwenye uongozi mtu anaweza kufanya zaidi ya kuendeleza alivyovikuta
Yaani wanazingua sana na wanataka kiwe chama kimoja kitawale hali ya kuwa wananchi hawatakuwa na uhuru wa kuchagua mtu wanae mtaka bado tupo kwenye ukoloni hakika
Leo tarehe 24/November/2019 nimeenda kupiga kura kwenye serekali za mitaa ila chakustahajabisha nimekuta CCM imeshinda bila hata uchaguzi je hii ni haki kweli? Mimi ninachofahamu uchaguzi siku zote unatakiwa kuwa wa uhuru na haki tunapielekea sio pazuri kabisa jamani huu ni uonevu usio kifani...
Wewe una wazimu kweli juhudi gani ambazo amefanya yeye zaidi ya kudhohofishs maisha ya watanzania? Mfano halisi huu hapa hayo sio majibu sahihi kumjibu mwananchi
Taarifa mbali mbali zilizotolewa katika wiki iliyopita au kwa undani mwenendo unaovutia na kuorodhesha matukio fulani. Walakini, kulingana na waangalizi wengine, matoleo hayo hutoa maoni kidogo katika ukweli. Hii ni kwa sababu, wanasema, vifo vingi vya kisiasa havipatikani, haswa katika jamii za...
Kuna mambo mengi sana, yanayo endelea ila inabidi ifike kipindi mtu lazima uongee kwa niaba ya watu wengine. Tabia hizi zenye wasiwasi zinaweza kuonekana kama sehemu ya mabadiliko makubwa nchini Tanzania. Chini ya Rais Magufuli, nchi inaenda mbali na wafadhili wa jadi na uwazi wa kidemokrasia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.