Recent content by samwita

  1. samwita

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    WAFIA MTIPIDII,+254.WAZEEE WA RONJAA. 2028,2029, NA 2030.
  2. samwita

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Miezi 6 tu.
  3. samwita

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Ndio Kwanzaa wana miezi miwili kwenye mafunzo wapo kunduchi. ACHA KUPOTOSHA
  4. samwita

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Labda 2028
  5. samwita

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Jobless acheni kubishana ujinga nendeni mkaombe nafasi za magereza zimetangazwa. NOTE MAFANIKIO YA MTU YANATOKANA NA JITIHADA BINAFSI. hata ukilipwa milioni 10 kama hauna nidhamu ya pesa, mafanikio utayasikia kwa jirani. Asante nawasilisha
  6. samwita

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Kazeni Vichwa,kuruta wapo depo kitambo nyie mnadiscuss Leo. Poleni sana maisha sio lazima MTPIDII,fanyeni kazii
  7. samwita

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Jikoni + mpishi = ukweli na uhakika. Hakuna kozi hakuna kozi, tekenologiaaaa
  8. samwita

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Ronja zimeniambia
  9. samwita

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Jipeni moyoo,mtafanikiwaa 2028 &29
  10. samwita

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Jeshi jeshi KOOOOH, KOhooo;- yoyooo.mtasubiri sana mpaka mnaingiaa kaburini. Tumieni mbinu nyingine ya kupata kazi. Hakuna ronjaa zaidi ya hii. Tupigeni kazi zingine tukomboee Familia zetu.
  11. samwita

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Tutafute kazi zingine sio lazima MTPD. umri unaenda. Loading tangazo jipya 2028. Kuna watu watakuwa wanasubiri mtpd haaaaaaaaa
  12. samwita

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    LOADING TANGAZO jipya la ajira TPDF 2029. NOTE Habari kwa sasa imekwishaaa. Tufanye Mambo mengine
  13. samwita

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    NOTE: zoezi limekamilika msijipe moyo,focus kwenye inshu nyingine.sio lazima tpdf.
  14. samwita

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    January hii au February ukweli na uhakika. Kuhusu info zingine sina zaidi ya hiyoo.
  15. samwita

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Wanamichezo+ wasio wanamichezo= usaili loading.
Back
Top Bottom