Sidhan kama kuna mfanyabiashara au mzalendo mwingine akawa chama fulani then akajiamini na kuthubutu saidia na kusifia juhudi za chama kingine kama anavyofanya mzee sabodo! Its very strange katika mazingira ya na siasa za kiafrika. Inaelekea ni mlipaji mzuri wa kodi!
Sent from my BlackBerry...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.