I predict that the denouement of the riddle of the arusha will soon come. The agenda is being set at this trial. Whether the peaceful ways I have favored will prevail depends on what the oppressor decides, what signals it sends out to the waiting public.
In my innocence of the false...
bado sijaona sababu ya msingi ya kumuomba naibu spika msamaha,kwani hotuba ilisomwa kwa umakini na ikagusa ukweli ambao hautakiwi, ingetakiwa kabl ya kiti cha spika kutaka kuombwa radhi wakasome maana ya siasa za kiliberali LI-maudhui yake na nia yao ya pamoja kwa mwanachama yeyote wa LI-ikiwepo CUF
lakini kama ni akili na utashi wako mh. nakusihi kaa chini utafakari upya huenda uliwaza aidha ukiwa umechoka ama ukiwa na mambo mengi kichwani,
ni kwa nini hiyo fedha isireform taasisi ya elimu na kutoa kupaumbele kwa walimu wa hisabati kwa kuwahakikishia maslahi mazuri?
pili serikali itumie...
have discovered one thing we really need changes but we dare not,being enslaved is too expensive that sometimes we can not encour but changes are too expensive also but we can encour,nobody is ready to be front , we have few che guevara,malcom x,steve biko nowadays but we ought to precede...
kimsingi kuthihirisha kwamba tanzania ni nchi iliyojengwa katika misingi ya demokrasia ,yenye lengo la ustawi wa jamii ambamo utawala wa sheria unafuatwa na kila mtu yuko chini ya sheria basi ingekuwa busara kama kinana abrahman angehojiwa na vyombo vya usalama na baadaye tuhuma hizi zifanyiwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.