Recent content by SAMWEL MBALASWA

  1. S

    JamiiForums Tanzania TCU, mna nini na chuo cha Tumaini Makumira Mbeya?

    Tatizo moja tu, You seems to have a narrow Idea about the Institution. What is better, wakae wazalishe wataalam feki na kufaidisha walioajiriwa au waondoke wakapikwe kwingine ili waje walifae Taifa? Hata sisi tusingependa kuona watu wanaachishwa kazi ila sidhani kama kuna mtu anafurahia kuwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania TCU, mna nini na chuo cha Tumaini Makumira Mbeya?

    Ulipotembelea pale ndio kulikuwa na sekeseke la Walimu 7 kuacha kazi kwa mkupuo, nikiwakumbuka wachache( Mwl Peter Chaula,History) sasa yupo SAUT MBEYA, SAMSON KYANDO ,Sasa yupo SAUT MBEYA,(Geography), Zimkulile Very Well Mkondya)English sasa yupo TEKU, na wengine wengi. Hapo wengine waliondoka...
  3. S

    JamiiForums Tanzania TCU, mna nini na chuo cha Tumaini Makumira Mbeya?

    Hapo umegonga Msumari wa 18". Issue ni Mkopo wa Bank uliochukuliwa wa Bilioni 1.2 kutoka CBA BANK na wakaishia kutumia Milioni 600 kujenga Jengo ambalo halijaisha,Yaani ukifanya hata Evaluation ya sh 600 Milioni,haifanani na kazi iliyofanyika. Milioni 600 zingine zilitafunwa bila kujali...
  4. S

    JamiiForums Tanzania TCU, mna nini na chuo cha Tumaini Makumira Mbeya?

    Kama vile upo pale,yaani wameweka Unyakyusa Mbele badala ya Academic. Mwanzoni Chuo kilikuwa kisimamiwe na Tumaini Makumira Makao Makuu ikiwa ni pamoja na Control of Human Resources as per Income of the College. Wanyakyusa wakakataa kwa kigezo cha watu wa kaskazini watatutawala. From the...
  5. S

    JamiiForums Tanzania TCU, mna nini na chuo cha Tumaini Makumira Mbeya?

    Nafikiri Location is not a problem,it has a god geographical location ever seen, tena ndio ingepata wateja wengi sana. Tatizo uongozi ulifanya Extravagance then Kanisa likawaacha tu,TRA walifunga majengo ya Utawala tangu mwaka jana mwezi December mwanzoni na sijui kama walilipa hiyo kodi ya sh...
  6. S

    JamiiForums Tanzania TCU, mna nini na chuo cha Tumaini Makumira Mbeya?

    Ndicho tunachotaka,huwezi kuwaweka watoto wa watu pale halafu wakidai haki yao unatishia kuwafukuza,Fikiria tu kuna wanafunzi hawajahitimu tangu mwaka jana,kwa kifupi TCU ilizuia Graduation, fikiria waliokuwa na ruhusa kazini na walitakiwa wawe wamepeleka vyeti vya kuhitimu kwa waajiri...
  7. S

    JamiiForums Tanzania TCU, mna nini na chuo cha Tumaini Makumira Mbeya?

    Ngugu zangu, Chuo hiki kinachoitwa Tumaini Makumira kituo cha Mbeya au SHUCO imekuwa ni tatizo katika Swala zima la elimu ya vijana wa Kitazania. Tangu Mwaka 2017 katika kati, nimekuwa nikimwandikia Mkurugenzi Mtendaji wa TCU ili kuangalia chuo hiki kwa jicho la pembeni. Nashukuru kwamba...
Back
Top Bottom