Mm nilipostpone jaman alafu nimeomba mkopo HESLB kwenye barua ya kupostpone niliandika due to financial reason je chuo kitatumia barua yangu HESLB please maelezo wakuu
Jaman msaada mm nilianza chuo mwaka wa kwanza lakini sikufanikiwa kuendelea nilipostpone second semester lakini mwaka huu nilituma maombi bodi ya mikopo HESLB naomba kuuliza wanasema kwamba ili continue apewe mkopo lazima matokeo yake yatumwe HESLB je kwangu itakuwaje maana nilipostpone...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.