Recent content by samwel.e.m

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa google na Mozilla umeisha

    Thanks for the update
  2. S

    JamiiForums Tanzania Vitabu vizuri vya science

    Asante kwa ushauri wako
  3. S

    JamiiForums Tanzania Vitabu vizuri vya science

    Asante kwa advice yako
  4. S

    JamiiForums Tanzania Vitabu vizuri vya science

    Asante kwa ushaur wako.....ningependa kujua mapamphlet yana patikana wap daressalaam
  5. S

    JamiiForums Tanzania Vitabu na machapisho bora ya form 5, Physics, Chemistry, Maths na General Studies

    Asante kwa ushaur wako ila kuwa na vitabu ni muhimu kwasababu unafanya maswali meng tofauti na ya mwalimu pia sio kila kitu mwalimu atasema unahitaj kuongeza ujuz zaid
  6. S

    JamiiForums Tanzania Vitabu na machapisho bora ya form 5, Physics, Chemistry, Maths na General Studies

    Wadau Ninaomba mnitajie publisher wa vitabu vizuri vya masomo yaliyotajwa hapo juu kwa ajili ya mwanafunzi wa kidato cha tano, both vitabu vya maswali na vitabu vya notes/maelezo bila kusahau mapamphlet mazuri na waandishi wake. Naomba mchango wenu tafadhali!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Vitabu vizuri vya science

    Wadau ni vitabu vipi vizur ambavyo vinatumiwa sana na wanafunz wa kidato cha tano vya masomo ya physics,chemistry,puremathematics na general studies ...ukitaja kitabu taja na mtunz au publisher
Back
Top Bottom