Herbs ulizotoa ni nzuri ila je aina ya asali inatakiwa mbichi au na iliyo changanywa kwa kuchakachuliwa au ya nyuki wakali, wapole,wadogo au wakubwa? je mchanganyiko wakuzuia kipora kuota unachanganyaje?
Nimekuwa nikiskia wachawi wakiwaita wachamungu eti waliopote,na wacha mungu wakiwaita wachawi walio potea, kweli huwezi kujua wapinisahihi? hadi kusema ukawa hawana ridha ya wananchi kwani wanadai maslahi ya familia zao au taifa, acha kupenda kama CCM.
Ebu watanzania tuamke, imekuwa kawaida serikali kuibua matukio hewa ili kuzima sekeseke za kitaifa. Kumbuka DESI ilizima sakata la dowansi na radar, babu Loryondo posho za bunge, na homa ya denge na panya road yote nikudhoofisha katiba mpya isipatikane.
Kuna mambo ambayo ccm wanang'ang'ania kwa madai ya kudumisha fikra za waasisi, lakini hata hao waasisi hawakuwa malaika yako mema namengi mabaya waliyo kosea. Sasa tusilazimishe ujinga kuuita taratibu na sheria sio kweli hii
Umuhimu wa muungano kama upo nivyema tuuvunje na kuungana upya, kwani hata wasomi na wataalamu wa mikataba tunao, kwani sio kweli tukose katiba zanziba iwepo! tumeunganisha nini ikiwa katiba ya tanganyika haipo? tuskubali ujanja wa watu wachache wakifaid
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.