Suala sio ajira tu naomba muelewe kuwa yapo maswala mengi ambayo yamekuwa yakioaniswa hapo nyuma. Kilicho cha msingi sana ni kujipa muda, kuwaelimisha Wanajumuia wa Africa mashariki wote ili mwisho watu watoe hoja na mwisho tuhamue kwa kupiga kura.
Nasema hivyo kwa sababu watu wengi hawajui...
If we have a union and the members have not understood the constitution or the consititution is hiden to members for some reason, we are in big trouble.
Nina ushauri mdogo sana na mimi ninafikiri utakuwa na manufaa sana.
ushauri.
Badala ya kukimbilia umoja wa kisiasa tunge kimbilia kwanza kutatua matatizo ambayo tunayo sisi Wanaafrica Mashariki( common problems to Tanzania, Kenya and Uganda) mfano wa matatizo hayo;
1. Malaria...
Ninadhani ninazifahamu hasara za kujiunga. Ninaomba mtu yoyote aorodheshe faida za huu umoja kwa Watanzania, Wakenya, na Waganda. Unajua tukishughulika na faida kulinganisha na Hasara tutakuwa na uwezo wa kufika mwisho na kujua kama umoja huu ni mzuri au mbaya. Faida ziwe zinamlenga Mwana wa...
Mini nadhani ni bora tukajitoa kwanza kwa maana ninaona mwisho sisi Watanzania tutakuja kujuta.
kwanza; gharama za uzalishaji hapa ni kubwa kulinganisha na kwa wenzetu kutokana na sababu mbalimbali ambazo zinaeleweka.
Pili; hivi sasa Watanzania walioajiriwa Kenya au Uganda ni wachache...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.