Recent content by Samuel jolaur

  1. S

    Msaada: Aweza kusoma kozi inayohusu nini kati ya Madini, Mafuta na Gesi au Utalii kwa matokeo haya?

    Naomba ushauri ndugu zangu, Kwa Mwanafunzi aliyemaliza kidato cha nne mwenye "C" mbili za Phyisics na Hesabu na "D" tatu za Chemistry, Geography na English, ni kozi zipi zinamfaa kati ya kozi za sector ya madini, mafuta& gesi na sector ya utalii kulingana na soko la ajira?
Back
Top Bottom