Wakubwa,Kusema kweli billa kuingiza itikadi za siasa kwa nchi kama Tanzania ambayo imepata uhuru wa bendera miaka 50 iliyopita hatuwezi kuendelea kufumbia macho upungufu mkubwa uliopo kwenye katiba ya jamhuri ya Muungano ya mwaka 1977.
Binafsi sioni kwa nini viongozi wetu wanapata kigugumizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.