Recent content by Sampon

  1. S

    Nategemea kuvuta fiber internet ya TTCL

    Nipo Tegeta Bahari zoo, nilijaza fomu mara mbili lakini sijapata mrejesho wowote. Kuna namba uliziweka hapa JF, nilizungumza nao mara moja baada ya hapo hazijapatikana tena. Naomba muongozo wako.
Back
Top Bottom