Recent content by samike

  1. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Freeman Mbowe akamatwa na Jeshi la Polisi akielekea Mbozi mkoani Songwe

    Si angefuata ratiba ubishi mwingi
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini makada hawa wa CHADEMA hatujawaona kwenye maandamano? Shida iko wapi? Au wameogopa?

    Hawa huwa wanaandamama twitter
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waganga wakataa kuhusishwa na matukio ya mauaji ya watu yanayotokea karibuni nchini

    Kule songea wameua wafanya biashara wawili
  4. S

    JamiiForums Tanzania Polisi yasikitishwa na kifo cha kada wa CHADEMA, Ali Kibao. Latoa wito kwa mwenye taarifa za kweli na uhakika awasilishe kwa mujibu wa taratibu

    Natumai wale wapelelezi waliofanya uchunguzi wa mauaji ya wafanyabiashara wawili kule songea waliopplotea na hatimae kubaini walikokuwa wamefukiwa na watuhumiwa kukamatwa nao wataongeza nguvu kwenye hili nadhani wanakitu cha ziada
  5. S

    JamiiForums Tanzania Siri mauaji ya bilionea wa madini na mwanaye

    Kumbe bhana huyu hakuwa bilionea ni uhuni tu Grace masese senso aliyejifanya kuwa ndugu wa kaka naye yupo mahabusu na wengine hii dunia bhana
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Marwa Masese Festo (55) pamoja na mtoto wake John Marwa (30) wakazi wa Kunduchi Dar Wauawa Kikatili

    Tupeni update ya hii case, nadikia Grace masese aliyekuwa ametambua maiti na mfanyabiashara maarufu dar wapo ndani
  7. S

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Uhuru: Rais Samia hana wazo la kugombea Urais 2025

    Bila katiba mpya itakayoweka tume huru ya uchaguzi Mama atashinda kwa kishindo
  8. S

    JamiiForums Tanzania Maoni: Safu ya Baraza la Mawaziri haiakisi maendeleo, inaakisi nchi kumilikiwa na familia fulani zinazoamini bila wao hakuna Tanzania

    Kama watafanya kazi vizuri sawa hapa ninapoona umuhimu wa katiba mpya ambayo tutapata tume huru ya uchaguzi
  9. S

    JamiiForums Tanzania NACTE: IFM, CBE na Arusha Tech siyo Vyuo Vikuu bali ni Taasisi za Elimu

    Kumbe CBE na IFM ni VETA ILIYOCHANGAMKA
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

    Tupe Mrejesho Mkuu vipi ulijifungua salama , ulitumia mbinu gani Afya za watoto wetu vipi
Back
Top Bottom