Yule Tajiri wao Simba siyo Tajiri , ni msemaji wa kampuni Siyo Final say!
Yaani kiufupi ni msemaji kama alivyo Ahamed ally au ally kamwe hadi kikao cha familia kiamue ndipo utekelezaji ufanyike!
Hata akifulia atakopesheka tu ili simba apate adabu apunguze jeuri! Wakubwa wakujengee jukwaa halafu unalitumia kuzomea waliokujengea weee unajitaka hujitaki.
Simba hatokaa afukie dawa zake uwanjani hadi siku atakapojua kuheshimu watu walioshika mpini. Ulinzi utaimalishwa kila mechi zake had...
Awamu hii hata makundi Simba haingiii, Ulinzi utaimarishwa Mechi zake za nyumba hakuna kufukia dawa uwanjani (polisi watalinda viwanja ) hadi siku simba wakijua makosa yao
kuna msemo wa zamani unasema Mla miwa husahau ila mtupa maganda hasau!
Salam Haitii mimba; Huu msemo unamaana tu kwa watu wenye nidhamu;
Haiwezekani unasalimiwa na mkubwa katika birthday yako huitikii na kibaya zaidi unazomea!
Sasa asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu! NAIMANI wengi...
Afanye oparesheni Zifuatazo
1. Atangaze siku 30 za kila basi llililoweka ngao waondoe mara moja, kwasababu inachangia sana kiburi cha ku-overtake na kuhatarisha usalama barabarani
2. Atangaze oparesheni ya kutokomeza tandabui baraarani ( Yaani bajaji zote zinazofanya kazi kama daladala kwa...
Mtu akiomba ushauri ni jambo jema Kusema na kama hujui siyo busara kuleta mzaha!
Tiba ya pumbu iko katika aina kadhaa! Pia ni shirikishi!
Yaani ukitaka kupona pumbu lazima kwanza ubadilishe mazoea ya kuzilinda pumbu!
Pumbu ni sehemu yenye joto hivyo ikizibwa sana bila usafi na hewa inaanza...
Barua hii nimeiandika kuiomba serikali yetu ibadilishe matumizi ya fedha AFCON Ili mafundi tupate pesa za kutalii kiufundi ulaya.
FUNDI SAMICO,
P.O.BOX.
SAMICO TANZANIA,
KWENDA: Wizara ya Michezo(TFF)
P.O.BOX
DODOMA
TANZANIA
YAH: OMBI LA KUJIONDOA KWENYE MICHUANO YA AFCON NA KUELEKEZA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.