Recent content by Samia gang

  1. S

    PreGE2025 Mitano tena kwa Rais Samia Suluhu

    Wakati tunaelekea mwaka 2025 mwaka wa uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani mimi kama kijana mzalendo mwenye kuipenda nchi yako sijaona wa kushindana na jemedali dokta Samia Mtu huyo bado hajazaliwa kwa utafiti nilioufanya Rais wetu anakubalika sana kwa uchapakazi wake na uwezo wake wa...
  2. S

    Maoni: Thobias Mwilapwa apewe Ukatibu Mkuu wa CCM

    Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii ya kipekee kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema wa baraka ya uhai aliyotujalia hatimae kuwenza kuuona mwaka mwingine 2024. Tukiwa tunaelekea kwenye vikao vya Halmashauri Kuu na Kamati Kuu ambavyo kutokana na ratiba ya chama Moja ya ajenda itakuwa...
  3. S

    Rais Samia kama ikikupendeza mteue Thobias Mwilapwa kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga

    Sijatumwa na mtajwa hapo juu, wala sio shabiki wa mtu yoyote kwenye siasa. Sema kutokana na uchapakazi wake, uadilifu na uongozi uliotukuka toka akiwa Hanang na Tanga vimenifanya nione kuwa ni mtu anaefaa kupewa nafasi ya ukuu wa mkoa wa Shinyanga.
Back
Top Bottom