Recent content by SAMFA

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ukarabati wa Barabara ya Tegeta A (Kwa Bedui)

    Ili ufike katika hii barabara inabidi uingilie wap
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hivi barabara ya goba wakorea ipo eneo gani goba?

    Mi naishi kinondoni mkwajuni
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hivi barabara ya goba wakorea ipo eneo gani goba?

    Habari wadau. Naomba nielekezwe namna ya kufika barabara ya goba wakorea , ili ufike barabara hii natakiwa nipitie wapi.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mh jamani tamisemi lini watatangaza ajira?

    Ajira inatangazwa mwez wa nane then walimu wataripoti mashuleni mwzi wa tisa .
  5. S

    JamiiForums Tanzania Lindi mbona pamepoa sana jamani?

    Labda aende kivinje lakini kilwa masoko hakuna kitu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Udhalilishaji kingono kwa wanawake ni tatizo kubwa sehemu za kazi

    Mabint wenyewe wanajitongozesh kwa hawa mabosi. Biologically ni ngumu kwa mwanaume kumkataa mwanamke anaekutaka mwenyewe , wanafanya hivi lengo wapate favor na kulipiwa huduma mbali mbali. Mabos wengi wanaingia kwenye mahusian na watumishi wao kwa maelewano pande zote mbili, ila ikitokea boss...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali yashindwa kulipa wakandarasi, mradi wa SGR Mwanza wasimama

    Miradi mingi imesimama kwa changamoto ya pesa , hazina hakuna pesa, Kuna mikataba mingi ya ujenzi imesainiwa lakina ujenzi umesimama kwa vile wakandarasi hawajapewa pesa ya advance.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Barabara Vikindu - Tundwi Songani

    Hii njia kwa vikindu unaingilia wapi?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tangu TAMISEMI waseme wamepata kibali Cha kuajiri kada ya Afya na Walimu tangu mwezi wa pili mwaka huu sijui shida huwa nini?

    Kinachoonekana hazina Haina pesa ya kulipa walimu wapya, walimu waliokuwepo tu wanalipwq kwq bahati nasibu Kila mwezi Kuna kundi la watumishi kimakosa mshahara bila sababu ya msingi, binafsi sitegemei ajira kutangazwa karibuni hii
  10. S

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Mbutu (Kigamboni, Dar) tuna changamoto kubwa ya Barabara, mamlaka ziko wapi?

    Kuna ujenzi wa Barabara za lami unataka kuanza kwq dege mbutu Kilometa 1.6 pia barabara ya atani dege kilometa 1.7.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Kibada - Mwasonga mbioni kuwekewa Lami, Bashungwa akagua athari za mvua

    Barabara ya mbezi mpiji magohe inajengwa kwa kiwango Cha changalawe , Kwa Sasa serikali inajenga kipande Cha kibamba mpiji kwa awamu kiwango Cha lami. Sababu kubwa ni kwamba kipande Cha mbezi mpiji magohe kinahitaji fidia kubwa kwa wananchi kwenye utekelzji wa Barabara ya lami poa inahitajika...
  12. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Hivi Msumi ipo Dar es Salaam kweli?

    Barabara ya mpiji magohe serikali inashughulika na kibamba mpiji magohe mpka iishe inajengwa kwa awamu. Mbezi mpiji magohe bado Sana maana kipande hiki kinahitaji fidia kubwa kwa wananchi katika kupanua barabara pia kipande hiki kinahitaji Madarajq zaidi ya matano hivyo inahitajika bajeti ya kutosha
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ubovu wa barabara ya Mbagala Kiburugwa

    Hii Barabara wanasema limepita bomba la mafuta la TAZAMA hivyo hawaruhusiw kufanya matengenezo ya barabara Mpak wapate ruhusa ya kwao,
  14. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Hivi Msumi ipo Dar es Salaam kweli?

    Kuna mradi wq DMDP phase two watajenga barabara ya msumi kilometa 9.08 . Ujenzi unaanza mwezi wa saba. Kipindi wanatangaza zabuni ili mkandarasi apatikane. Tembelea page ya mkuu wa mkoa you tube autakuta kafafanua barabara ambazo zitapitiwa lami
Back
Top Bottom