Recent content by Sameereltamim91

  1. S

    Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Nataka kufanya biashara ya mbuzi, naomba ushauri na msaada wenu wadau, naweza kuwauza wapi mbuzi nikapata faida ya uhakika. Ahsanteni
  2. S

    Nataka kufanya biashara ya kuuza mbuzi viwandani. Ni viwanda gani wanalipa vizuri?

    Nilipata namba zao Ila haipatikani kabisaa namba Yao. Ahsante Kwa ushauri
  3. S

    Nataka kufanya biashara ya kuuza mbuzi viwandani. Ni viwanda gani wanalipa vizuri?

    Nataka nifanye biashara ya kuuza mbuzi Ila niuze viwandani na sio mnadani, ni viwanda gani wanalipa vizuri na hawasumbui ulipaji? Na utaratibu ikoje? Naomba muongozo
  4. S

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Nahitaji kufanya biashara ya kuuza mbuzi, lakini nataka niwauzie viwandani jee ni viwanda gani wanalipa vizuri? Naomba ushauri
Back
Top Bottom