Recent content by Samchris iStore

  1. S

    iPhone X sealed 64 GB

    Contacts:0715211872 Price :2,800,000 Location: Makumbusho Stand
  2. S

    Computer4Sale Hp Laptop Inauzwa ,,nzuri pia ht kwa Architects

    Mawasiliano 0715211872,,,nipo Makumbusho Stand Core i5, 700hdd, 4gb ram, hp probook 450 Price: 650,000
  3. S

    iPhones zinapatikana dukan kwetu @samchris_istore ☎️0715211872

    JIPATIE IPHONES ZOTE KATIKA DUKA LETU LA @samchris_istore. @samchris_istore. @samchris_istore. iPhone 5 16 Gb - 350,000/- Tsh. iPhone 6 16 Gb - 630,000/- Tsh. iPhone 6 32 GB - 680,000/- Tsh. iPhone 6 64 GB - 750,000/- Tsh. iPhone 6 Plus 16 Gb - 830,000/- Tsh. iPhone 6 Plus 64 Gb -...
  4. S

    iPhone 6 na 6plus Mpya zinauzwa(Gold and Grey Color)

    Haah shida yote ya nn pale juu kwenye thread nlikosea badala ya kuandika 6s plus nkaandika 6 plus ,,that’s it na kwenye maelezo hapo nimeeleza kuhusu bei mpk imefika 800k
  5. S

    iPhone 6 na 6plus Mpya zinauzwa(Gold and Grey Color)

    Daah Bro shida kila ki2 mmezoea open dialogue sijui mada,,m sijaleta mada m nimekuja kutafuta vichwa we ni mjanja na unaona feki kausha,,sio mambo ya kushoboka mwanaume akiwa anatafuta hela.
  6. S

    iPhone 6 na 6plus Mpya zinauzwa(Gold and Grey Color)

    Mi na deal na iPhones tu ,,S8 inauzwa 1.25 mil
  7. S

    iPhone 6 na 6plus Mpya zinauzwa(Gold and Grey Color)

    We jamaa IPhone 6s Plus 16 GB nauza 1.1mil ss hiyo inatatizo la fingerprint imedrop 300k ss hapo shida nn ,,,uhalisia gan unataka au unahisi kila used phone inakuwa na dents au kioo kupasuka,,mashine imenyooka that’s why nauza 800,000/- na ishachukuliwa ,,usidhan kila mtu Ana access na mambo ya...
  8. S

    iPhone 6 na 6plus Mpya zinauzwa(Gold and Grey Color)

    We jamaa Lusungo ndio watu wale wanaosubiri watu wanunue muanze kusema mm hiyo naipata bure cjui dubai,,Mara hiyo fake coz ni nzito,,mara ooh nna kaka ang ananilteaga bure kutoka Dubai ,,so hunisumbui Kazi tu kuharibia watu biashara,,ungekuwa umenunua cm kwang hapo sawa ndio uwambie watu nauza...
  9. S

    iPhone 6 na 6plus Mpya zinauzwa(Gold and Grey Color)

    Kama unahisi umeshiba na kuanza kutalk shit out of nowhere,,I can deal with yu all day long,,so vidole tu vinakuwasha
  10. S

    iPhone 6 na 6plus Mpya zinauzwa(Gold and Grey Color)

    Who told yu iPhone 6 hapo inauzwa ,,failed fingerprint ni 6s plus ss we kudandia dandia tu narudia tena na kiiphone 8 plus chako
  11. S

    iPhone 6 na 6plus Mpya zinauzwa(Gold and Grey Color)

    Listen,,usinifanye kama nimeanza kuuza simu leo,,ww unaye order Amazon haikuhusu ungekausha kaagize cjui eBay huko,,m nawauzia people wa Tz ambao hata hawaijui hiyo Amazon and where to get this phones at their preferred price which is quite low,,una bahat siruhusiwi kutukana humu,,mmezid...
  12. S

    iPhone 6 na 6plus Mpya zinauzwa(Gold and Grey Color)

    Kwan mpya we ununua sh ngap,,au unataka kujikuta mjanja we cm unazipata kwa bei nyasi!!
  13. S

    iPhone 6 na 6plus Mpya zinauzwa(Gold and Grey Color)

    Eeh katana kununua viwanja na upunguze kutaman cm usizoweza kununua
  14. S

    iPhone 6 na 6plus Mpya zinauzwa(Gold and Grey Color)

    We si mjanja tafuta 6s Plus ya 600k uje nikuongezee nyingine 3 za bei hiyo bure
Back
Top Bottom