Kwa uelewa mchache ni kwamba "Africa is a peculiar market". Sisi tunanamna yetu ya kufanya biashara mtandaoni ambazo e-commerce companies za Tanzania zinabidi zikae na wateja wao kueleweshwa somo hili. Mteja ndio anasiri ya jinsi angependa vitu viende hadi anapata bidhaa zake kwenye kila...
Naomba kuongezea kwa waliochangia mambo mazuri hapo mwanzoni. Kitabu ni chemichemi ya maarifa. Inategemea unahitaji kuongeza maarifa upande upi wa maisha yako. Mfano kuna kitabu cha 100 rules for entreprenuers kinachouzawa na Sambazah.co kinagusia mambo ya ujasiriamali tu ambacho kitamfaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.