Recent content by Sambalya

  1. S

    Crazy things you did in secondary school

    Kuna mwamba aliwahii kunichimba mkwara akanipa Mia mbili akaniambia kaniletee mihogo ya jero na chenchi buku ...huwezi kuamini...nikamletea na chenchi nikampatia 🤣 🤣 🤣 🤣
  2. S

    Mapenzi ni Special kwa watu wanatumia akili kidogo

    Mapenziii.....hayana shule ....coz tunakutana na Aina tofauti tofauti Sana na hao mnaowawaza.,....kila mtu anajua Yuko na sample gani ....muhimu ukiona mtu umeweza kuyabeba madhaifu yake ...na yeye kayabeba yako.,....bhas hapo unyama...ila ububu na kiziwi.... 🤣 🤣 Nonyaaa
  3. S

    Unapoingia kwenye mahusiano, hakikisha unajua jinsi ya kutoka endapo penzi litafikia tamati

    Mapenzi mapenzi mapenziii....nilikuwa hadi jumamosi naenda kanisanii na jumapili namsindikiza na yeye kanisanii...yaani nasali mara mbili ...lakini wapii??? Mlango Uwe mpana au mwembamba ....kutoa penzinj ni SUICIDE 😊 😊 😊 😊 😊
  4. S

    Ofisi imemchagua mke wa rafiki yangu aende training Marekani mwaka mmoja. Jamaa yangu yupo njia panda

    Mwaka ni siku 365 hadi 366 kama tayarii Wana familia...bhas amuache aende....ila awe na plan B if anything goes differently
Back
Top Bottom