Recent content by Samatime Magari

 1. Samatime Magari

  Utajuaje Brake Pads za gari yako zimeisha?

  Kuna madereva huwa wao wakishaweka D ndo nitolee mwendo mdundo, unakuta Brake pads zinaisha hajui zinakula disc mpaka inakua nyembamba utafikiri CD. . Sasa Basi nimekuandalia Tips rahisi kwa ufupi kabisa zitakazokusaidia kujua Brake Pads zimeisha na utazijua ndani ya sekunde 60 tu, Kwanza Taa ya...
 2. Samatime Magari

  🚨Shikamoo Mpemba

  . Ilikua December Mwaka jana 2021 Ijumaa Usiku Boni alinitext WhatsApp, Akanambia anatafuta Toyota Harrier ya mkononi Tako la nyani yenye hali nzuri. Akasema budget yake ni Million 18 Net hapandi wala hashuki, akipata white au silver itakua safi.. . Akasema yuko Dodoma ila ikipatikana hata...
 3. Samatime Magari

  🚨 CHEKI HII: Passo inauzwa $ 240, Kama Laki Tano na Nusu tu

  Hii Laki Tano na Nusu ni kwa Pesa ya Mama Samia + usafiri kikipanda meli mpaka bandarini nauli kinalipa $1500 kama Million Tatu na Nusu, Yani nauli ni mara sita ya gharama halisi ya msafiri mwenyewe, kama ni wasee wa ku import manzi unaweza amua kukomaa na mshindi tu... . Kikifika hapo...
 4. Samatime Magari

  🚨Boni akauliza Hivi Mazda Atenza Upatikanaji wa Spear na Body parts ukoje, wajumbe wakamjibu Dunia ishakua Kijiji we nunua tu usiwaze..

  Hili jibu alipewa Bonilove wakati anataka kununua Mazda Atenza na Boni Bila hiyana akavuta mzigo na picha ndo likaanzia hapa,.. . Boni ni mkazi wa makao makuu ya nchi wenyewe wanapaita Dodoma na ni mmoja wa wasirikali waliotoka Dar wakaenda Dom Kikazi, Ni kijana flani mtu wa maji, misosi na...
 5. Samatime Magari

  🚗 IST ilivyoleta kizaa zaa Coco Beach

  Siku moja miaka ya nyuma kidogo Jamaa mmoja aliingia pale Coco beach mida ya mchana na IST yake, sasa alipofika alikuta parking imejaa ila katika kutafuta jamaa wa parking akamuita, Kulikua na spot moja kwenye mchanga mchanga na kulikua na gari za juu zimepark pale.. . Yule jamaa wa parking...
 6. Samatime Magari

  ⛽Hivi Ushawahi kuazima gari au umenunua gari halafu hujui pa kuwekea mafuta [fuel tank cap] ni upande gani?

  Yani unaingia kituoni unapark gari uwekewe mafuta unajikuta umegeuza pump iko kulia wewe umeweka gari kushoto, Fuel attendant anakuona kama dish lako linayumba hivi hafu hakuelewi elewi. . Kuna wale wasee huwa hawataki aibu ndogo ndogo huwa wanashuka wanachungulia kwanza, Yani kabla hajafika...
 7. Samatime Magari

  🚨Subaru Trezia a.k.a "treasure"

  Mnamo mwaka 2008 kwenye Bar flani Japan mitaa ya Shibuya Maboss wawili walikua wanamwagilia moyo, Hawa ni [Ikuro Sugawara wa Toyota na Teiko Kudo wa Subaru] wakiwa na wapenzi zao.. . Wakiwa wanamwagilia moyo wapenzi wao wakawa wanabishana, mabishano yalikua kuhusu gari nzuri kati ya Toyota...
 8. Samatime Magari

  NAITAMBULISHA Kwako Vitz ya Mjerumani BMW Series 1

  Yes ni sahihi, inakuja na compressor ndogo na dawa ya kuziba incase ukipata pacha
 9. Samatime Magari

  Mark 2 Grande Gx 110 aka Jini Mkata Kamba

  . Hii ni moja ya sedan za Toyota nzuri kuwahi kutokea, huyu na Crown ni kama wanashare Baba sema Mama tofauti, Hii ndo zile gari unasikiaga zinakopa speed yani zinafika 180 hafu mshale unaenda mbele zaidi, kaa vizuri ule madini.. . Mark II kama Mark II ina generation 9 ni gari flani old school...
 10. Samatime Magari

  Nissan X Trail aka Kimeo

  Uko sahihi nakubaliana na wewe 100%
 11. Samatime Magari

  Nissan X Trail aka Kimeo

  Sawa sawa uko na article/site naweza soma kuhusu hii kitu
 12. Samatime Magari

  Nissan X Trail aka Kimeo

  Mark 2 ipi, unamaanisha gx110 au ?
Top Bottom