wasafi wanataka ufahari.... mimi nataka radio hapo gharama zinakuwa tofauti maana wao watatumia million 100 mimi natamia million mpaka tano kwa mwezi...
kwasababu kila anayefanya kazi wasafi gharama anazo lipwa ni kubwa mno kulinganisha na huku.
kumbuka mimi ndio engineer hivyo kwanzia...
wasafi wanataka ufahari.... mimi nataka radio hapo gharama zinakuwa tofauti maana wao watatumia million 100 mimi natamia million mpaka tano kwa mwezi...
kwasababu kila anayefanya kazi wasafi gharama anazo lipwa ni kubwa mno kulinganisha na huku.
kumbuka mimi ndio engineer hivyo kwanzia...
ok mapato yanapatikana hivi...
1. kuna makampuni ya simu ambayo yanakuwa kwa kasi ambayo ni Tccl, halotel na mengineyo kama smile ambayo nilijaribu kuwasiliana nao ili niingie nao mkataba ili kuweza kupata mtaji wa kuanzisha radio hii kisheria maana mwanzo ilikuwa hewani bila vibali vya tcra...
ok..
jina la radio: liquid fm
eneo la mradi: arusha
aina ya radio: commercial radio(ya kibiashara)
lengo kuu na malengo mahusi: lengo kuu la radio hii ni kutoa habari kwa jamii, kuburudisha jamii, kukosoa jamii, kutengeneza faida.
walengwa wa radio hii: jamii (maana hao ndio wasikilizaji...
mkuu television station ni tofauti na radio station hata usajili tu tofauti.
na kingine ukiwa na management mbovu basi na biashara yako lazima iyumbe maana hakuna mtu wa kufuatilia mienendo ya biashara,
hivyo kutokana na changamoto kunaweza kuwa njia ya kupata mafanikio maana unakuwa...
info zote zipo tayari mkuu hapa natafuta mtu mwenye mawazo kama yangu ili tuanzishe biashara hii yenye faida kubwa nitext whatsapp 0746297498 tuelezane zaidi.... karibu
Habari natafuta mfadhili ambaye atawekeza ili kuanzisha fm radio station mkoani arusha.
Gharama za mradi huu ni Tshs 48,000,000/=
Faida ambayo inaweza kupatikana kwenye mradi huu ni kuanzia Tshs 48,000,000/= kwa mwezi hivyo ni mradi wenye faida kubwa kwa yeyote atakaye vutiwa kuwekeza kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.