DAH tutapambana ivo ivo kaka hata kma n magum..mungu atatenda tu...kuhus waschana xawa itakua changamoto bt kama mwanaume njia zpo za kuwa escape na kufanya yangu...au nakoxea kaka
i hope xo mkubwa...mana naskia mtandao wao unazngua xana xaxa sjui wengne tutajuaje kma wa round i mean second sesion au lah..mana hakuna kataarifa inayombia nifanye secnd kma ilvotokea kwa wingne
ni kijana wa miaka 21 nasumbuliwa na chunusi flani kama vijipu uchungu kwa sabu vinatoa usaha na damu mwshoni pleaz wakubwa naombeni msada nfanyeje?hasa maeneo ya puani na chni ya mdomo au kidevuni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.