Recent content by Sam Seaborn

  1. S

    JamiiForums Tanzania From Mtwara Port: Mapokezi Shehena ya Kwanza ya Mabomba ya Gesi Bandari ya Mtwara!

    hizo schematics ziko wapi au wataalam wa project management na IT hatuna AU pesa za kutengeneza hiyo ilitolewa lakini tushakula...
  2. S

    JamiiForums Tanzania From Mtwara Port: Mapokezi Shehena ya Kwanza ya Mabomba ya Gesi Bandari ya Mtwara!

    in this day and age hii kitu ilitakiwa iwe live streamed kwenye youtube au online hivi JF kwa nini isiwe na youtube channel ambayo itakuwa ina stream hivi vitu live
  3. S

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari watimuliwa msafara wa waziri mkuu Ruvuma

    Hivi Tanzania ina waandishi wa habari au mifanyo ya waandishi wa habari?
  4. S

    JamiiForums Tanzania From Mtwara Port: Mapokezi Shehena ya Kwanza ya Mabomba ya Gesi Bandari ya Mtwara!

    Hivi mambo haya tutaacha lini? Kupokea mabomba nayo inahitaji sherehe ambayo minimum itakuwa imecost more than 50 million tuione huruma nchi hii jamani! Msg kwa PASCO Al Habib kitambi noma Yuko wapi Pasco wa enzi za akina Ahmad Nzowa, Alioki, Jov na crew nzima ya Masai Studio? Gym...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Askari wa TZ Darfur Wagonjwa, Wanaolinda na Waliorudishwa kwa Heshima za KITAIFA na KIJESHI

    I don't know why our soldiers were ever sent there in the first place, as historically hizo Darfur na Congo has proved impossible to control, not just by the UN, but by other countries too sasa why do we think we are immortal tunaweza kurudisha amani huko? Once again inaonyesha jinsi gani...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Askari wa TZ Darfur Wagonjwa, Wanaolinda na Waliorudishwa kwa Heshima za KITAIFA na KIJESHI

    This is not worth paying the price for. Hawa ni dada zetu, kaka zetu, ndugu zetu na sioni kwa nini walipelekwa kule Tanzania ingetoa technical assitance only na sio kupeleka hawa ndugu zetu wakauliwe. Darfur hawajatuvamia sasa ya nini sisi kwenda kuingilia mambo ya nchi iliyombali huko? At...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hivi lini tutaanza kuwa serious?

    Sina haja ya kusema mengi lakini this picture speaks alot about our political class na priorities zetu Admin/mod naomba uiache hapa ili mjadala unoge zaidi.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

    Hivi alilipa kodi aliyokuwa anadaiwa?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

    ..............rip
  10. S

    JamiiForums Tanzania Utata uraia Kinana umeibuliwa tena na ushindi wa Lema

    Lema tena...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Shahidi: Lema alimkashifu Dk. Buriani jukwaani

    LEMA na UDINI....
  12. S

    JamiiForums Tanzania Policy Unit Ikulu ni akina nani?

    tatizo la mijitu kama nyinyi mna wa over rate sana watu wetu sisi na mambo hayo wapi na wapi?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya wizara ya maji kujibu hoja binafsi ya Mh. Mnyika?

    Inawezekana vipi wizara muhimu kama hii ikawa haina strategic plan wala framework for transport services? haijulikani pesa zao zinatumikaje na kwenye nini na kila mwaka wanaomba pesa. Mtandao wao is even more embarassing kuliko Michuzi blog so dont expect to get anything meaning from the...
Back
Top Bottom