Recent content by Salummsimbe

  1. S

    Viazi mviringo bei Shambani Njombe

    Blessings 🙏 Mkuu
  2. S

    Viazi mviringo bei Shambani Njombe

    Habari zenu wakuu Ninaomba msaada wenu. Ningependa kujua Bei ya sasa ya viazi mviringo Obama na Sangita shamba katika eneo la Njombe. Je, bei kwa mkulima shambani Bei kwa gunia (100kg) ni kiasi gani? Pia, ikiwa mtu ana taarifa ya vinapopatika aina ya viazi (mviringo, OBAMA &SANGITA) na...
  3. S

    Soko la Viazi mviringo Obama na KADINYA Bei ya Shamba na Bei ya mjini ya gunia la kg 100 ni Bei Gani?

    Naweza kupata location ya vijiji vya njombe mkuu ambapo direct nitaenda kwa wakulima?
  4. S

    Soko la Viazi mviringo Obama na KADINYA Bei ya Shamba na Bei ya mjini ya gunia la kg 100 ni Bei Gani?

    Habari familia naomba kujua machimbo ya Shambani ya Viazi mviringo Bei zake Obama na Kadinya na Bei na Masoko ya mjini WAKUU
Back
Top Bottom