Recent content by salumjr

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje nipende mpira wa miguu

    Fanya amka asubuhi tafuta mpira wa doso anza na danadana kisha kupigiana ,gombania goli,cheza funga duka ,one touch lazima utapata raha hapo sasa ukishakukolea hamia kwenye jabulani mtafute iconic star wako umuangalie anafanyaga nn na ww ufanye hivyo hapo utaupenda maana huwez kupenda kitu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wale walioomba kazi TANESCO tusaidiane ushauri katika uandaaji wa barua inaonekana kuna utofaut kidogo.

    Ukiangalia vizur vitu vya kuzingatia kutuma maombi ya nafasi za kaz tanesco mbozi tafadhali yapaswa uwe makin na haya mambo. Nanukuu " Qualified and interested candidate may apply by sending a detailed application letter clearly stating why you should be considered for the position and how...
Back
Top Bottom