Kwa wale msiojua kithungu someni tamko la wahisani wenu hapo kuhusu uchafuzi wenu wa juzi na safari hii tunaenda kunyooka.
kabla ya kura hata moja kupigwa kura za tanzania ambazo zilikumbwa na vurugu na ukandamizaji mkubwa. iliripotiwa ukiukwaji mkubwa wakati wa siku ya jana ya kupiga kura na...
Kwa wale msiojua kithungu someni tamko la wahisani hapo na safari hii tunaenda kunyooka.
Kabla ya kura hata moja kupigwa kura za Tanzania ambazo zilikumbwa na vurugu na ukandamizaji mkubwa. Iliripotiwa ukiukwaji mkubwa wakati wa siku ya jana ya kupiga kura na kukamatwa leo kwa viongozi wa...
Umesema kweli lakini kuna mijitu inayolipwa kuongea pumba itakuja kukupinga hapa na kukubishia.
ukweli kampeni ni kama kutongoza vile hata mkeo ndani anapenda kuskia ahadi mpya kwamba nitakununulia nguo nitakuletea viatu nitakupeleka movies.
Lakini ukimwambia nilikununulia nguo nilikuletea...
Huyo haraka haraka alikwisha changanyikiwa siku hizi hatumskilizi tena si ndiyo aliyesema kwamba hata bila kampeni CCM inashinda matokeo yake sasa hivi wanapiga magoti hadi wanalala chini kuomba kura.
Pamoja na polisi wao bado wepesi sana usiombe watu wabadilike wewe ngoja utaona wafanye uchaguzi wa Haki vinginevyo itakua shida maana hali inavyoneka si shwari hata kidogo.
Siku hizi wabunge kumbe wanaombewa kwa Magufuli na Tume siyo wanachaguliwa na wananchi kwenye sanduku la kura kama haya uliyo andika ni kweli basi ni aibu sana kwa nchi yetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.