Recent content by Salum Maawali

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mzao wa Tippu Tip uko wapi?

    Salaam Waungwana Ukoo wa huyu muungwana unaitwa Al marjeby. Lakini la kushangaza sana huyu bwana hakuwa mfanya biashara ya utumwa kama mlivyofunzwa historia ya uongo na wazungu na vibaraka wao. Huyu ndie aliyekuwa anaaminiwa kuijua Tanganyika hadi Kongo wakati huo na alikuwa mfanyabiashara...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Kiholanzi wapewa kazi ya kuimaliza CCM kwenye Mahakama ya ICC

    Salaam waungwana Naomba niachangie katika hili. Kuna watu humu kwanza huwa wanabeza sana mambo kama tu yametoka kwa upinzani. Hii si sahihi. Suala la CUF kwenda ICC wengi walilibeza lakini aminini lipo HAI kabisa na suala hili lilianza katika mahkama za Tanzania kwa kufuata taratibu za kisheria...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    Salaam ndugu zangu wote Wacha kwa ufupi niwaeleze hasara kwa Tanganyika ikiwa muungano huu utavunjika kama mimi ambavyo nategemea kuwa hauwezi kudumu kwa kuulinda kwa vifaru ila utadumu tu iwapo maoni ya muundo wake yatazingatia matakwa ya wananchi wa pande zote mbili. Kwanza kutatokea...
Back
Top Bottom