Sijui kama ni upuuzi kujilinganisha na mtu anayefanya vizuri kuliko wewe ili na wewe ufanye vyema zaidi hata kama si kumfikia huyo unayejilinganisha naye. Kuridhika na ulicho nacho kumbe hakina tija labda ni kuyakataa maendeleo.
Sasa hivi hatuna mabarabara ambamo magari yanaweza kwenda kwa...
Matarajio ya popote pale ni kwamba kadri barabara zinavyoboreka ndivyo muda wa kutoka mahala kwenda mahala kwingine unapungua. Tanzania kadri barabara zinavyoboreka ndiyo muda wa kutoka sehemu moja mpaka nyingine ndio unaongezeka!
Nchi zingine ukiweka taa za barabarani zinaboresha upishanaj wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.