Recent content by SalSel

  1. SalSel

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya Mahusiano ianze kutolewa shuleni

    Shida serikali saivi inapambania tozo tu, hili sidhani kama wataliona
  2. SalSel

    JamiiForums Tanzania Ni bia gani inayoweza kupunguza uzito wa mwili?

    Bia ni ngano, na ngano sidhani kama inapunguza uzito. Fanya mazoezi ndio suluhisho tosha.
  3. SalSel

    JamiiForums Tanzania Kuchukua pesa za watu benki si kitu cha kawaida, Inawezekana nchi imefilisika!

    Yani nchi imefilisika alafu bado wanajilipa mishahara mikubwa tu na maposho kibao, Nadhani itakua wameamua kutuwekea akiba kwa lazima, labda wataturudishia baadae
  4. SalSel

    JamiiForums Tanzania Naogopa sana jinsi wapumbavu walivyo wengi. Kuna siku watatuchagulia Rais

    Shida yetu tunajali chama kuliko nchi, ndo maana kwakua mimi ni chama fulani hata kama aliyepitishwa kugombea hafai baso nitajikuta namtetea tu na kumpigia kura hivyohivyo, sijui tutabadilika lini kwa hili
  5. SalSel

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha ameudanganya umma, si kweli kwamba hawezi kutengua tozo

    Ndo uzuri wa kua na chama kimoja bungeni
Back
Top Bottom