Au mimi nimesahau? Kama mliseama viongozi wa dini wabakie kwenye nyumba za I ada, wasiingilie siasa!! Leo imegeuka? NAAM,UFALME HUU UMEFITINIKA. Wamefanya jitihada zote za kujihalalisha imeshindikana. SASA WANAZUWIA MAFURIKO KWA MIKONO.
Huko nako kina katambi,wanita watu wenye vikosi vya vita...
Suala hili ni gumu sana kufikia tunapotaka.
Wakubwa wote ndani ya ccm wanalinda maslahi yao.
Unahisi mtu kama kasheku ataasi mipango yao, mtu kama bashing nk? Ikitokea jwtz ikachukua hatua ya kuwatetea watanganyika INAWEZEKAN
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.