Recent content by Salmin Da Stump

  1. S

    Hapa suluhisho ni lipi?

    thanks ma brother but where will i get that tcu book coz i'm at the rural areas where that acess can't found.
  2. S

    Hapa suluhisho ni lipi?

    Nina dv2 ya point 11(HGK) nataka kufanya application ya university mwaka huu ila nitabase sana kwenye faculties znazohusiana na Geography. Naomba mnisaidie hzo faculties pamoja na chuo kizur tz.
  3. S

    Kwa wenye uelewa na hili msaidien huyu mwana JF.

    Hv Tanzania kuna faculty ya SURVEY na ni ktk chuo gan? Na qualifications zake ni zp? Msaada tafadhar!
  4. S

    Msaada unahitajika wana jamvi msaidien huyu mwanajamvi mwenzenu.

    dah! Namhamisha ndugu yangu mapema hii ni balaa ya shule
  5. S

    Msaada unahitajika wana jamvi msaidien huyu mwanajamvi mwenzenu.

    Nawaomben msaada wa matokeo nipo kijijin ambako taarifa nazpata kwa simu kupitia JF. Naomba mniwekee matokeo ya form four_2012. Namba ya shule S.4100 (salama)
  6. S

    NECTA Kutangaza Matokeo Leo ya kidato cha Nne Leo.

    Dah! Huyu jamaa inaonekana anataka msaada wa kupelekwa milembe. Msaidien jaman atapotea
  7. S

    matokeo ya form 4 kutangazwa leo saa 10 jioni na naibu wazili wizarani

    Kwan mwandish aliepost hii network haipandi mbona kama yuko uingereza halaf anatumia sim card ya tigo?
  8. S

    Applications za GEOGRAPHY UDOM

    Ni vitivo gan vinahusiana na somo la geography UDOM?
  9. S

    Mitihani ya Dini kizungumkuti NECTA

    Kweli acje akawa kama NECTA TANZANIA kwenye facebook akaanza kuwazushia necta.
  10. S

    Falcuties za HGK

    Wanajf nisaidien fulcuties za HGK combination UDOM /UDSM coz nataka fanya application.
  11. S

    Kitivo cha TAKWIMU chuo kikuu.

    thanks sana coz kuna lijamaa linajdanganya kusoma statistics liko f6 HGK
  12. S

    Kitivo cha TAKWIMU chuo kikuu.

    Hiv kwa wanaosoma kitivo cha TAKWIMU {statistics} huwa wanatumia miaka ningap kumaliza degree ya 1 na ni combination gan inakuwa priority? Kwa wanaosoma HGK au HGL vp?
  13. S

    Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    Wadau naomben link ya matokeo ya kidato cha sita ya mwaka 2010. Nataka kureview zero yangu. Nililate na maisha ya chuo mida hz!
Back
Top Bottom