Huyu mama tangu alipoahamishia serikali na kukaa marekani siku zaidi ya 6 kuzindua Royal tour nikajua tu hapa tumepigwa na katiba. Ndiyo maana mara nyingi ninapojaribu kutoa kasoro na mapungufu ya Rais kuna nafsi inaniambia "usimseme sana" kumbuka ni amateur kwenye office inayohitaji pro...
Shikamoo Babu. Babu nimesoma katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 ibara ya 2A inasema "Zanzibar ni miongoni mwa nchi mbili zinazounda jamhuri ya muungano wa Tanzania". Kweli naiona Zanzibar ipo kama nchi maana ina Rais wake, katiba na bendera yake. Nchi ya pili ambayo ni sehemu ya muungano hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.