Recent content by SALIMBOGA

  1. S

    JamiiForums Yupi wa halali kuoa?

    Kuna mwanachuo mmoja alikuwa na mchumba alipokuwa form three, alipokwenda kusoma Advance akampata mchumba mwingine akamuahidi pia kuwa angemuoa, huko chuoni amepata tena mtu mwingine naye amemuahidi kuwa atamuoa. Aliniomba ushauri kuwa amuoe nani sikuwa na jibu la haraka, yule wa form 3...
  2. S

    JamiiForums Yupi wa halali kuoa?

    Kijana mmoja alikuwa na msichana alivyokuwa kidato cha tano, yule msichana akahama shule, alivyofika form six akapata mwingine palepale shuleni, akamaliza akaenda kwao. Wote wawili akiendelea kuwasiliana nao, nyumbani akapata mwingine, matokeo yakatoka akaenda chuoni akapata mwanamke mwingine...
Back
Top Bottom