Recent content by Salim A. Msangi

  1. Salim A. Msangi

    SoC01 Mchango wa Jamii katika kuboresha Elimu Tanzania

    Najaribu kuvote inanikatalia, sijui nimechelewa ama vp, ila ni bandiko Zuri. King in ningependa pia tufikiriea Je elimu inayo tolewa sasa inayo ubora na sifa za kukabiliana na hatimaye kutatua changamoto zinazo izunguka jamii yetu? Math alanine tuliwahi kuwa na kikombe cha babu, Mindoro mbinu...
  2. Salim A. Msangi

    Corona Virus; New 9/11 (Global Respond)Prt 2

    Tiririka na posti zote mpaka mwisho utakuwa na majibu.
  3. Salim A. Msangi

    Corona Virus; New 9/11 (Global Respond)Prt 2

    Ipo to infinite ... wewe tu.
  4. Salim A. Msangi

    Corona Virus; New 9/11 (Global Respond)Prt 2

    Kuna TANBIHI juu pale kwenye posti ya kwanza, ilikuwa inakuhusu.
  5. Salim A. Msangi

    #COVID19 Corona Virus; New 9/11 (Kumekucha)Prt 1

    Nipo mkuu sheria ya mitandao imenifanya nipozi kidogo, siku moja moja tutatkuwa tunarushia huku mpaka tukae sawa.
  6. Salim A. Msangi

    #COVID19 Corona Virus; New 9/11 (Kumekucha)Prt 1

    Ipo yote Yote to infinite ... wewe tu.
  7. Salim A. Msangi

    Corona Virus; New 9/11 (Welcome to a New Normal)Prt 6

    Ulaya wanayo mkakati kufikia 2025 wawe wameachana kabisa na sarafu na waende kwenye Cashless Society. Moja ya vitu ambavyo janga hili litafanikisha ni kuongeza kasi ya kusambaa kwa Cashless Society kwenye uwigo mpana, na wakati ambapo tutakuwa tunaandika historia ya janga hili dunia nayo itakuwa...
  8. Salim A. Msangi

    Corona Virus; New 9/11 (Global ID)Prt 5

    Kwa miongo kadhaa sasa kumekuwa na juhudi za makusudi za kutoa chanjo zinazo lenga kupambana na aina Fulani ya maradhi na mahusisi kwa makundi tofauti ya watu, rika, maeneo na hata nchi. Pamoja na kwamba chanjo hizi zimekuwa zikipokea upinzani mkubwa, tena wakitafiti, wenye hadidi rejea za...
  9. Salim A. Msangi

    Corona Virus; New 9/11 (Gates Man of the Show)Prt 4

    Athari ya 9/11 na kukamilisha malengo yake imekwenda kwa takribani miongo miwili, kutoka kwa movie na kanda zilizo okotwa Torabora, kuja kwenye video za Osama zilizo kuwa zikizundiliwa na Al Jazeera mpaka kuja ‘kuuwawa’ kwa Al-Baghadad. Zote hizo zilikuwa ni movie zinachezwa kutufikisha hapa...
  10. Salim A. Msangi

    Corona Virus; New 9/11 (P+R=S)Prt 3

    Problem + Reaction = Solution. (P+R=S) Formula hii imetumika sana kwenye majukwaa ya kisiasa, kitaifa na kimataifa, toka enzi za WWI na hata kurudi nyuma mpaka hivi karibuni kwenye 9/11 na yaliyo fuata baada ya hapo. Ukionganisha nukta za maelezo ya wana Globalist kabla ya janga hili, na sasa...
  11. Salim A. Msangi

    Corona Virus; New 9/11 (Global Respond)Prt 2

    Kuna kile kilichoitwa ‘Event 201’, Bill Gates kama kawaida alikuwepo kama mdhamini, mara hii akishirikiana na World Economic Forum, ‘event’ hiyo ilijikita kwenye kuzungumzia uwezekano wa kuibuka baa la maradhi ya kuambukiza litakalo weza kuuwa watu kwa idadi kubwa na kwa muda mfupi. Mpaka jina...
  12. Salim A. Msangi

    #COVID19 Corona Virus; New 9/11 (Kumekucha)Prt 1

    TANBIHI: MADA HII SI KWA WATU WOTE. MAHUSUSI KWA WALE WENYE FIKRA PANA, WENYE UWEZO WA KUPOKEA MAWAZO KIZANI NA ELIMU NA IMANI YAO NA KUYACHANGANUA NA KUJENGA HOJA, DHANA SAWA AU TOFAUTI BILA KUKWAZIKA AU KUMKWAZA YOYOTE. KWA NAMNA YOYOTE IKIWA UNAFAHAMU UWEZO WAKO WA KUCHANGANUA NA KUTOFAUTISHA...
Back
Top Bottom