Huna hoja ata moja mtoa post,hizo safari zako ulizozipa jina la matumaini wala aziendani na hii yenye matumaini ya kufika,Kumbuka kuwa ili ufanikiwe lazima uweke matumaini ya kufanikiwa,so jaribu kujisogeza katika ili gari maana naona unatamani kuingia ila mlango wa kuibgilia ndo auujui,kama...
Hivi kama lowasa aliiba kwa nini akupelekwa mahakamani,yeye yupo juu ya sheria?Lowasa is our coming president,wananchi tunamkubali,viivaaa Lowasa viiivaaa
Lowasa ndiye Rais ajaye,hizo mzisemazo ni fitina zenu za kisiasa,raia ndo wanajua nani anawafaa kwa sasa,ndo maana wanamkubali na ata anapokwenda uwa wanakuja kumsapot,mtasubili saaaanaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.