:peace:raia wa Manyovu Kigoma tumebarikiwa kuwa na pua ndefu kama walivyo Wamasai na Wairaki wa Manyara lakini kutokana na muonekano wetu tunakamatwa kuwa ni Warundi na wengine Wanyaruanda lakini vijiji vyetu vimekuwepo kabla hata ya uhuru wa Tanganyika na vingine viliitwa Nyabutusi na ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.