Recent content by saladi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Njia za asili za kufanya uke kuwa mdogo

    magari yanatulemeza hakuna kutembea wala kubeba ndoo hata kupalilia bustani kwanini zisitanuke?kingine ni ubunifi wako katika sita.kwa sita mengine sijui mgagano no kujitafutia shida mapenzo si uke kubana ni zaidi ya hiyo
  2. S

    JamiiForums Tanzania Njia za asili za kufanya uke kuwa mdogo

    jamani mengine ni kujitafutia matatizo wakina mama,tujiulize.kwa nini.zitanuke?ni mfumo wa maisha tunaoishi na pia yategemea maimbile mungu alivyokuumba hivyo basi lifestyle ya siku si kama mama zetu ambao walikuwa wanafanya kazi za nyumbani kama kubeba ndoo,kulima to mention few lazima misuli...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo: Mzunguko huu watuchanganganya

    nendemi hospitali ndiko mtapata ufumbuzi
  4. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina Cyst kwenye ovary ya kulia

    Unaweza kuconceive, cyst huwa ni hormanal, inatokea na wakati mwingine haitokei. Kuhusu fangasi, pata matatibu sababu fangasi au infection kwenye kizazi ni chanzo kikuu cha kuzuia mimba kutunga. USHAURI: nenda kwa Dr Mwaka, amesaidia wengi sana nina ushuhuda kwa hilo na watu wengi tu. Muombe...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwaka wa nne sasa kwenye ndoa bila mtoto

    daktari yupo himo-moshi anaitwa dr minja
  6. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwaka wa nne sasa kwenye ndoa bila mtoto

    i once used,it helps if u have a belief
  7. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwaka wa nne sasa kwenye ndoa bila mtoto

    nimeshajibu dia,kuwa na imani mungu wetu ni mwaminifu usijali utapata tu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwaka wa nne sasa kwenye ndoa bila mtoto

    poleni wapendwa,nilikuwa naumwa kundolewa pole jaman,nilienda hosp nikapewa dawa aina ya norethesterone for 30 days use nilibleed kweli kupima tena no pcos then nikasafishwa kizazi na kupewa clomid then nikaconceive sikuamin,baby dust to all,our lord hears
  9. S

    JamiiForums Tanzania Uvimbe kwenye mayai ya mwanamke (ovarian cyst)

    unaweza kupata i used to have lakini sasa ni mjmzito,nilipta matibabu ukaisha then nikasafishwa kizaxi
  10. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwaka wa nne sasa kwenye ndoa bila mtoto

    hatimaye nimepata ujauzito,asante mungu,nashukuru kwa michango yenu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Namna ya Kuanzisha na Kuendesha Biashara ya Kufua Nguo | Laundromat Business

    Jamani kuna ndugu kaniulizia hii biashara ya dry cleaner inahitaji vitu gani vya muhimu hasa wakati mtu anaanza na vinacost kiasi gani? Kwani ameniambia na almost kama tshs milion tatu na nusu.MSAADA WANA JAMII KWA HUYU MJASI ANAYEANZA.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Biashara nzuri kuliko zote

    Jamani kuna ndugu yangu kanifuata kuniomba ushauri kwamba anataka kufungua dry cleaner na ana tsh milioni tatu. Anauliza ni vitu gani vinatakiwa kwenye biashara hiyo,msaada wajameni tumsaidie dogo
  13. S

    JamiiForums Tanzania Watani zangu Waha mna matatizo gani kwenye ukombozi wa mkoloni mweusi?

    acha ujinga,la kwako halina matatizo eeh shame on you,hebu tuwe na sharp mind hivi sampling ya watu wawili ndio ugeneralise waha wote,nyie wa wapi hebu rudini shule halafu ndio mseme hayo mnayoyasema
  14. S

    JamiiForums Tanzania Watani zangu Waha mna matatizo gani kwenye ukombozi wa mkoloni mweusi?

    hivi umesoma wewe?ni research gani sample watu wawili then you jump into conclusion,come here with viable data ndio ungeweza kusema hayo,MBULULA KWELI,NINGEKUWA LECTURER WAKO NDIO UNANILETEA DISSERTATION ISIYO NA KICHWA UNGEDISCO MCHANA KWEUPEEEEEEE,NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK
  15. S

Back
Top Bottom