Recent content by SakaroMbulu

  1. S

    NATAFUTA GODORO 5 *6 Inchi 8 lenye hali nzuri

    Habari, kwa yeyote mwenye godoro 5*6 nchi 8 anicheki dm chap.
  2. S

    Computer4Sale Lenovo pc for sale

    Photo Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    Computer4Sale Lenovo pc for sale

    2GB RAM, 500GB Charge up to 4 hrs standing Napatikana Arusha Imetumika miezi minne tu Njoo dm unipe offer yako tufanye biashara Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    INAUZWA Used Engine ya Nissan sunny, Nissan Match na Nissan saloon inauzwa

    Engine ya Nissan Serena SR20 ipo,kwa anayehitaji njoo pm Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    INAUZWA Used Engine ya Nissan sunny, Nissan Match na Nissan saloon inauzwa

    Mwenye Engine safi ya Nissan Serena 2000 na gear box yake anipe bei hapa tufanye biashara Sent using Jamii Forums mobile app
  6. S

    Car4Sale Nissan Serena 2000 For Sale

    Nissan Serena 2000 Body-Saloon (Closed Top) Colour-Black Class-Less than 12 persons Year-2000 Fuel-Petrol Engine Capacity-1990 Inamatatizo kwenye gear box Price-5.5 Milion I am the owner Njoo PM kwa msaada zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    INAUZWA Used Engine ya Nissan sunny, Nissan Match na Nissan saloon inauzwa

    Boss,naomba kujua kama nitapata knock sensor ya Nissan Serena mwaka 2000, niko serious.Asante
  8. S

    Vyuo vya watu wenye matatizo ya akili

    Akifundishwa haviingii akilini mkuu,anakuwa na mambo ya kitoto na muda mwingine yupo kama zuzu
  9. S

    Vyuo vya watu wenye matatizo ya akili

    Habari wanajamii, nina mdogo wangu anaumri wa miaka 20, akili yake haiko sawa, kila chuo tukijaribu kumpeleka anashindwa,ameshamaliza course mbali mbali kama mapishi,computer na ufundi lakini bado hajui chochote, naombeni msaada kwa yeyote mwenye kujua chuo cha watu kama hao,iwe ndani ama nje ya...
  10. S

    Knock sensor nissan serena 2000

    Habari wanajamii, natafuta knock sensor ya nissan serena mwaka 2000. Kwayeyote anaefahamu au mwenye nayo naomba tuwasiliane 0738385338. Knock sensor sio ya gear box. Asanteni.
  11. S

    IPHONE 7 / SAMSUNG S8 PLUS

    Habari Wanajamii, natafuta iphone 7 plus au Samsung S8 plus Bajeti yangu ni 700,000/= Kwamwenye nayo nicheki PM tufanye biashara Asanteni.
Back
Top Bottom