Recent content by saito

  1. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA wamekosa mawasiliano ndani ya chama, wakichukua nchi hali itakuwaje?

    CDM inabidi wajipange sana maana hii hali ya kukorogana hasa kwenye issue za Zitto Kabwe inatia mashaka.
  2. S

    JamiiForums Tanzania CAG aikosoa serikali! Amtunishia msuli Makinda kuvunja POAC, ashauri irudishwe! PSPF hatarini kufa

    ANAJIOSHA TU YEYE MWENYEWE AMEFANYA UFISADI MKUBWA SANA KATIKA MRADI WA CONSTRUCTION NATIONAL AUDIT OFFICE ACCOMODATION AND OFFICES - DODOMA akishirikiana na aliyekuwa mwenyekiti wa PAC - John Momose Cheyo.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa: Tupo Makini kuliko CCM, Usalama wa Taifa....

    Ukikutana naye muulize Ben Saanane ana kazi gani CHADEMA! Na anawezaje kutunishiana msuli na ZITTO Kabwe ambaye ni ''mwanasiasa Makini na mwenye Vision kuliko Mbowe''- Msacky
  4. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la kutekwa, kuteswa Kibanda: Maggid Mjengwa ahojiwa na Polisi!

    Muda kila mtu atakuwa na umaarufu wake hapa Tanzania!
Back
Top Bottom